(pichani ni msanii aliyecheza kama kunta kinte) kijana aliyekataa kubadilishwa jina lake la kunta kinte alililopewa na wazazi wake huko Gambia afrika 1750. Aliona kukubali jina la thobias alipewa na bwana wake willer utumwani Amerika ni kuusaliti uafrika wake, willer akabaki na jina la thobias na kunta akaendelea na jina lakeπ.
Baada ya kuferi majiribio yake kadha ya kutoroka utumwani Amerika alipewa machaguo mawili ya adhabu, Akatwe mguu au ahanithiniwe, yeye akachagua kukatwa mguu moja akabaki na mjoaπ. Alifariki 1822 π. Alijulikana kama mwafrika aliyejitambua muda wote utumwani.
Jina lake limetumika ktk filamu nyingi duniani na wasanii wengi wamelitumia duniani kote mpaka Sasa bado linatumika .
No comments:
Post a Comment