/* maujanjaTanzania*/ .TDheading-1{background-image:linear-gradient(to right,#eb3941,#f15e64,#e14e53,#e2373f);box-shadow:0 5px 15px rgba(242,97,103,.4);Color:white;padding:10px;border-radius:7px} .TDheading-2{background-image:linear-gradient(to right,#25aae1,#40e495,#30dd8a,#2bb673);box-shadow:0 4px 15px 0 rgba(49,196,190,0.75);Color:white;padding:10px;border-radius:7px} .TDheading-3{background-image:linear-gradient(to right,#f5ce62,#e43603,#fa7199,#e85a19);box-shadow:0 4px 15px 0 rgba(229,66,10,0.75);Color:white;padding:10px;border-radius:7px} .TDheading-4{background-image:linear-gradient(to right,#667eea,#764ba2,#6B8DD6,#8E37D7);box-shadow:0 4px 15px 0 rgba(116,79,168,0.75);Color:white;padding:10px;border-radius:7px} .TDheading-5{background-image:linear-gradient(to right,#fc6076,#ff9a44,#ef9d43,#e75516);box-shadow:0 4px 15px 0 rgba(252,104,110,0.75);Color:white;padding:10px;border-radius:7px} .TDheading-6{background-image:linear-gradient(to right,#0ba360,#3cba92,#30dd8a,#2bb673);box-shadow:0 4px 15px 0 rgba(23,168,108,0.75);Color:white;padding:10px;border-radius:7px} .TDheading-7{background-image:linear-gradient(to right,#009245,#FCEE21,#00A8C5,#D9E021);box-shadow:0 4px 15px 0 rgba(83,176,57,0.75);Color:white;padding:10px;border-radius:7px} .TDheading-8{background-image:linear-gradient(to right,#6253e1,#852D91,#A3A1FF,#F24645);box-shadow:0 4px 15px 0 rgba(126,52,161,0.75);Color:white;padding:10px;border-radius:7px} .TDheading-9{background-image:linear-gradient(to right,#29323c,#485563,#2b5876,#4e4376);box-shadow:0 4px 15px 0 rgba(45,54,65,0.75);Color:white;padding:10px;border-radius:7px} .TDheading-10{background-image:linear-gradient(to right,#25aae1,#4481eb,#04befe,#3f86ed);box-shadow:0 4px 15px 0 rgba(65,132,234,0.75);Color:white;padding:10px;border-radius:7px} .TDheading-11{background-image:linear-gradient(to right,#ed6ea0,#ec8c69,#f7186a,#FBB03B);box-shadow:0 4px 15px 0 rgba(236,116,149,0.75);Color:white;padding:10px;border-radius:7px}

Pages

Inaelezwa kuwa licha ya kuwa na karatasi 310



Inaelezwa kuwa licha ya kuwa na karatasi 310 ambazo ni sawa na kurasa 620, lakini kuna kurasa 10 hazipo na haijulikani zilitoka vipi na ziko wapi. Kina urefu wa futi 3, upana wa futi 2 na uzito wa Pounds 165 (Kg 74).

Katika kitabu kicho kikubwa kuna picha mbili pekee, picha iliyochorwa na kuelezewa kuwa ni picha ya mji wa kuzimu pamoja na picha ya sura ya shetani katika ukurasa ya 290.

Kitabu hicho kilichoandikwa kwa lugha ya kilatini kimeandika uchawi sehemu mbili pekee, sehemu hizo zote mbili kinaeleza namna gani ya kumtambua mwizi.

Moja kati ya nadharia zinazotajwa kuhusiana na kitabu hicho ni kwamba mwandishi alitoa roho yake kwa shetani na ndio maana licha ya kuwa ni kikubwa, chenye kurasa 620 zilizoundwa kwa ngozi ya wanyama 160, Kizito kiasi kwamba kinahitaji watu kuanzia wawili kukunyanyua, lakini mwandishi huyo alikiandika ndani ya usiku mmoja tuu.

Mwaka 2007 kampuni moja ya bima huko US ilitoa bima kwaajili ya kitabu hicho iliuofikia kiasi cha £20 Millions. Bibilia hio ya shetani inaelezwa kuwa ina agano la kale na agano jipya.


Follow me Events@djmsafiTz 

Subscribe your email address now to get the latest articles from us

No comments:

 
Copyright © 2015. DJMSAFITZ MUSIC.
Design by Herdiansyah Hamzah. Published by Themes Paper. Powered by Blogger.
Creative Commons License